Ezra 2

Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni

(Nehemia 7:4-73)

1 aBasi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 2
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
3

4

5

6

7

8

9

10

11

12

13

14

15

16

17

18

19

20

21

22

23

24

25

26

27

28

29

30

31

32

33

34

35
In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:2-Ezr 2:35.
ajwakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):

Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:

cv akwazao wa Paroshi 2,172
cv wazao wa Shefatia 372
cv alwazao wa Ara 775
cv wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,812
cv wazao wa Elamu 1,254
cv wazao wa Zatu 945
cv wazao wa Zakai 760
cv wazao wa Bani 642
cv wazao wa Bebai 623
cv wazao wa Azgadi 1,222
cv amwazao wa Adonikamu 666
cv wazao wa Bigwai 2,056
cv wazao wa Adini 454
cv wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98
cv wazao wa Besai 323
cv wazao wa Yora 112
cv wazao wa Hashumu 223
cv anwazao wa Gibari 95

cv aowatu wa Bethlehemu 123
cv wa Netofa 56
cv watu wa Anathothi 128
cv watu wa Azmawethi 42
cv wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743
cv apwazao wa Rama na Geba 621
cv watu wa Mikmashi 122
cv aqwatu wa Betheli na Ai 223
cv wazao wa Nebo 52
cv wazao wa Magbishi 156
cv arwazao wa Elamu ile ingine 1,254
cv wazao wa Harimu 320
cv wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 725
cv aswazao wa Yeriko 345
cv wazao wa Senaa 3,630

36
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:39.
37

38

39
In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:36-Ezr 2:39.

axMakuhani:

wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973
cv aywazao wa Imeri 1,052
cv azwazao wa Pashuri 1,247
cv bawazao wa Harimu 1,017

40

bbWalawi:

Wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) 74

41

bcWaimbaji:

wazao wa Asafu 128

42

bdMabawabu wa lango la Hekalu:

wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai 139

43

beWatumishi wa Hekalu:
Yaani Wanethini (pia 2:58, 70).

wazao wa
Siha, Hasufa, Tabaothi,
44wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni,
45wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu,
46wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani,
47wazao wa Gideli, Gahari, Reaya,
48wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu,
49wazao wa Uza, Pasea, Besai,
50wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu,
51wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
52wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha,
53wazao wa Barkosi, Sisera, Tema,

54 wazao wa Nesia na Hatifa.

55

bgWazao wa watumishi wa Sulemani:

wazao wa
Sotai, Hasaferethi, Peruda,
56wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli,

57
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:58.
58
In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:57-Ezr 2:58.
wazao wa Shefatia, Hatili,
Pokereth-Hasebaimu na Ami.

cv bjWatumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Sulemani 392

59
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:60.
60
In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:59-Ezr 2:60.
bmWafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:
cv wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 652

61

bnKutoka miongoni mwa makuhani:

Wazao wa
Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).
62 boHawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.
63 bpMtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.
Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha.

64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 65 brtena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66 bsWalikuwa na farasi 736, nyumbu 245,
67ngamia 435 na punda 6,720.

68 btWalipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000
Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500.
za dhahabu, mane 5,000
Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900.
za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.

70 bwMakuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.
Copyright information for SwhKC